Posts

Showing posts from March, 2018

Myanmar has not stopped its ethnic cleansing of the Rohingya people in Rakhine state, a United Nations human rights official said on Tuesday.

Image
MUNIR UZ ZAMAN/AFP The UN envoy's assessment of a continued "campaign of terror and forced starvation" comes six months after a military crackdown caused a mass exodus of Rohingya Muslims. Some 700,000 people have fled to neighbouring Bangladesh since August. They have since told of murder, rape and arson by soldiers and vigilantes. Myanmar's military says it is fighting Rohingya militants and denies targeting civilians in Rakhine state. What you need to know about the crisis Could Aung San Suu Kyi face Rohingya genocide charges? Bangladesh 'to return 300 Rohingya a day' Who will help Myanmar's Rohingya? "The ethnic cleansing of Rohingya from Myanmar continues," said the UN's assistant secretary-general for human rights, Andrew Gilmour. Media caption Rohingya Muslims displaced from Tula Toli village in Rakhine State gave disturbing accounts "I don't think we can draw any other conclusion from wh...
Image
South Korean President Moon Jae-in says the country will continue to bolster its military defenses while talking with Pyongyang about ridding the Korean Peninsula of nuclear weapons. The President's comments came as a high-level South Korean delegation prepared to wrap up a trip to  North Korea,  where delegates held an historic four-hour meeting with reclusive leader Kim Jong Un. "We have started our journey for peace and prosperity with confidence that we can build denuclearization and peace on the Korean Peninsula with our own strength," Moon told graduating students at the Korean Military Academy -- South Korea's equivalent of the US military academy West Point. "But at the same time, we have to do our best to build countermeasure capability for North Korea's nuclear weapons and missiles." This picture released from North Korea's official Korean Central News Agency (KCNA) on Tuesday shows North Korean leader Kim Jong Un (cen...

Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia

Image
Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia matukio mbalimbali yanayojitokeza katika ardhi ya Tanzania na mwisho ameamua kuandika barua yenye hoja binafsi kwa Katibu wa Bunge ili kuundwe kamati ya teule ya uchunguzi. "Leo asubuhi (jana) nimewasilisha kwa Katibu wa Bunge barua ya kusudio la kuwasilisha hoja binafsi ya kuunda Kamati teule ya Bunge kuchunguza matukio mbalimbali yanayoonesha kutishia umoja, usalama na mshikamano wa Taifa letu", amesema Bashe.

vijana watano walio husika katika mauwaji ya mlinzi wa Suma -JKT wakamatwa na Jeshi la polisi mkowani Mbeya

Image
Jeshi  la Polisi mkoani Mbeya, linawashikilia watu saba kwa matukio mbalimbali ya uhalifu, wakiwamo vijana watano wanaodaiwa kuhusika na mauaji ya mlinzi wa SUMA-JKT. Wanadaiwa kumkata mapanga sehemu mbalimbali za mwili wake kisha kumpora bunduki na kutokomea nayo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Mohammed Mpinga, alisema Februari 26, mwaka huu ya saa 1:30 jioni, vijana hao wakiwa na mapanga, walimvamia na kumshambulia mlinzi huyo, Chewe Wilson (34), akilinda kituo cha mafuta cha Manyanya kilichopo Uyole. Aliwataja vijana hao ni Hamis Shaban (19) na Ibrahim Mbilinyi (22) wote wakazi wa Itezi, Stan Wema (21) mkazi wa Uyole, Bahati Laulend (22) mkazi wa Iduda na Sambaa Samson (32) mkazi wa Isyeseye. Alisema vijana hao baada ya kumjeruhi wakidhani amekufa walimpora bunduki aina ya Shortgun, mali ya SUMA-JKT aliyokuwa anaitumia na kutokomea nayo. Hata hivyo, alisema mlinzi huyo alikutwa na wasamaria wema akiwa hai na kukimbizwa katika Hospitali ya Kanda ya ...