Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia




Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia matukio mbalimbali yanayojitokeza katika ardhi ya Tanzania na mwisho ameamua kuandika barua yenye hoja binafsi kwa Katibu wa Bunge ili kuundwe kamati ya teule ya uchunguzi.

"Leo asubuhi (jana) nimewasilisha kwa Katibu wa Bunge barua ya kusudio la kuwasilisha hoja binafsi ya kuunda Kamati teule ya Bunge kuchunguza matukio mbalimbali yanayoonesha kutishia umoja, usalama na mshikamano wa Taifa letu", amesema Bashe.

Comments

Popular posts from this blog

Atimae uwanja wa mkwakwani Tanga wafanyiwa marekebisho

Atimae polisi kukatwa mkono

Na hatimae KLABU ya Singida United iliyopanda daraja msimu uliopita imenunua basi la mil 300 ili kurahisisha safari zake pindi michuano ya Ligi Kuu bara itakapoanza kutimua vumbi.