Ilipo fika tarehe Tarehe 18 October mwaka 2000 Bayern Munich walikutana na PSG ambapo Bayern Munich waliichapa PSG mabao 2 kwa 0, leo miaka 7 baadae vigogo hawa wanakutana katila dimba la Pac Des Princes nchini Ufaransa.



Tarehe 18 October mwaka 2000 Bayern Munich walikutana na PSG ambapo Bayern Munich waliichapa PSG mabao 2 kwa 0, leo miaka 7 baadae vigogo hawa wanakutana katila dimba la Pac Des Princes nchini Ufaransa.

PSG wanaikaribisha Bayern Munich huku wakipewa nafasi kubwa kuibuka kidedea kutokana na kuwa fowadi kiwembe inayoongozwa na Edison Cavvani, Neymar na Kylian Mbappe.

Bayern Munich wana rekodi nzuri kubeba Champions League kuliko PSG na hii leo watategemea kumuona Roberto Lewandoski akiwabeba, huku mshambuliaji huyo msimu huu akifunga jumla ya mabao 11 katika mashindano yote.

Psg wamekuwa na rekodi nzuri katika uwanja wao wa Pac Des Princes ambapo katika michezo 43 ya Ulaya waliyocheza katika dimba hilo wamepoteza mchezo mmoja tu na leo pia watamkaribisha winga Kingsley Koman ambaye alianza maisha yake ya soka akiwa na PSG.

Group D moto unawaka kwani Juventus hawana point hata moja na leo watatafuta pointi dhidi ya vibonde wenzao wa kundi Olympiacos, huku vinara wa kundi D Barcelona wataikabili Sporting Cp ambao nao wana alama 3 na mchezo kati ya wawili hao unaweza kuamua kiongozi wa kundi hilo.

Comments

Popular posts from this blog

Mtu kadakwa akimpelekea mahabusu simu katika gereza la Keko.

Taifa star na timu ya ruanda wanacheza siku ya leo mpaka

Hatimae kocha wa timu ya Kagera sugar Meck mexime kumaliza mafunzo ya ukocha amesema akili yake ameiamishia msimu wa ligi kuu Tanzani bara amepanga kuanza mwanzo wa Julai 17mwaka huu