Klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza ipo kwenye mazungumzo na kiungo waUruguay, Lucas Torreira anaekipiga Sampdoria inayoshiriki ligi ya Serie



Klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza ipo kwenye mazungumzo na kiungo wa Uruguay, Lucas Torreira anaekipiga Sampdoria inayoshiriki ligi ya Serie A ili kuona kama wataweza kunasa saini yake.



Kiungo huyo wakati mwenye umri wa miaka 22 anapewa nafasi kubwa ndani ya the Gunners huku ikiripotiwa kutengewa bajeti ya pauni milioni 26.

Mpaka sasa hakuna makubaliano yoyote yaliyofikiwa kwa Torreira ambaye yupo nchini Urusi kwenye michuano ya kombe la Dunia. Mpaka sasa The Gunners imemsajili beki wa Uswis, Stephan Lichtsteiner kwa uhamisho huru akitokea Juventus.

Comments

Popular posts from this blog

Mtu kadakwa akimpelekea mahabusu simu katika gereza la Keko.

Taifa star na timu ya ruanda wanacheza siku ya leo mpaka

Hatimae kocha wa timu ya Kagera sugar Meck mexime kumaliza mafunzo ya ukocha amesema akili yake ameiamishia msimu wa ligi kuu Tanzani bara amepanga kuanza mwanzo wa Julai 17mwaka huu