ATHUMANI Idd "Chuji" amerejea Ligi Kuu bara baada ya kujiunga na Ndanda FC ya Mtwara. Chuji amerejea kwa kusaini mkataba wa mweaka mmoja kuichezea Ndanda ambayo msimu uloipita ilifanya kazi ya ziada kubaki Ligi Kuu Bara. Kiungo huyo wa zamani wa Yanga alipotea baada ya kuachwa na Yanga misimu mitano iliyopita.

Juhudi zake za kutaka kurejea Ligi Kuu Bara zilionyesha kutokuwa na mafanikio hata alipojiunga na Mwadui FC ya Shinyanga ambayo licha ya kukaa misimu miwili, hakupata nafasi ya kucheza. Baada ya hapo Chuji aliamua kijiweka kando mwa Ligi hiyo na hivi karibuni alii buka na kufanya vizuri katika michuano ya Ndondo FC.

Comments

Popular posts from this blog

Siku ya jana yalifanyika maombi na mazishi mwimbaji mkongwe wa Msondo Ngoma, Shaaban Dede aliyefariki Alhamisi asubuhi, yamefanyika leo saa saba mchana na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa Dar es Salaam picha na sauti 5 bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Atimae Singida United kuanza maandalizi yake kuelekea msimu mpya wa ligi kuu tanzania bara

Atimae Anthony Martian aongezwa katika orodha ya kusajiliwa katika msimu huu katika club ya Manchester United taharifa hiyo imetolewa na Arsene Wenger