WACHEZAJI wa zamani wa Yanga, Omega Seme na mlinzi Busungu wamejihakikishia maisha ndani ya kikosi cha Lipuli FC baada ya kusaini mkataba wa miaka mmoja kwa kila mmoja. Busungu aliyemaliza na Yanga msimu uliopita hakuweza kuongezewa mkataba baada ya kushindwana na uongozi na hivyo kuwa mchezaji huru.

Kocha mkuu Lipuli FC, Seleman Matola alisema tayari wachezaji wamesajiliwa na timu hiyo na kuungana na wenzao katika kambi yao iliyopo Iringa. “Tunashukuru mazungumzo yamekwenda vizuri, Busungu pamoja na Omega ni wachezaji wetu halali na wameungana na wenzao Alhamisi kwenye mazoezi ya kujiwinda na Ligi Kuu,

” alisema Matola. Aliongeza kikosi chake kitakua na wachezaji mchanganyiko wakiwemo wakongwe ambao watasaidia kuimalisha timu hiyo ili iweze kukabiliana na mikiki ya ushindani kwa timu kubwa. Matola aliongeza baada ya wiki moja wanatarajia kuwa na mechi za kirafiki dhidi ya Mbeya City, Njombe Mji pamoja na Singida United.

Comments

Popular posts from this blog

Siku ya jana yalifanyika maombi na mazishi mwimbaji mkongwe wa Msondo Ngoma, Shaaban Dede aliyefariki Alhamisi asubuhi, yamefanyika leo saa saba mchana na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa Dar es Salaam picha na sauti 5 bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Atimae Singida United kuanza maandalizi yake kuelekea msimu mpya wa ligi kuu tanzania bara

Atimae Anthony Martian aongezwa katika orodha ya kusajiliwa katika msimu huu katika club ya Manchester United taharifa hiyo imetolewa na Arsene Wenger