Arsenal imefikia makubaliano na klabu ya Lyon kwajili ya kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette kwa ada ya pauni milioni 44 itakayoweka rekodi mpya ya usajili wa bei mbaya Emirates.





Arsenal imefikia makubaliano na klabu ya Lyon kwajili ya kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Alexandre Lacazette kwa ada ya pauni milioni 44 itakayoweka rekodi mpya ya usajili wa bei mbaya Emirates. 


Ada hiyo itaipuku ile ya pauni milioni 42.5 iliyolipwa na Arsenal wakati ilipomsajili Mesut Ozil kutoka Real Madrid mwaka 2013. Usajili wa Lacazette utakamilika ndani ya saa 48 baada ya mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kusafiri kwenda London kwaajili ya vipimo vya afya.


 Arsenal ilijaribu bila mafanikio kumsajili Lacazette msimu uliopita ambapo ofa yao ya pauni milioni 29 ilipigwa chini. Msimu huu ikarejea tena na ofa ya pauni milioni 39.5 ambayo nayo ilikataliwa kabla ya kuiboresha na kufikia makubaliano na mmiliki wa Lyon, Jean-Michel Aulas kwa dau la pauni milioni 44. 












































































































































































































































































































































































































Ada hiyo itaipuku ile ya pauni milioni 42.5 iliyolipwa na Arsenal wakati ilipomsajili Mesut Ozil kutoka Real Madrid mwaka 2013. Usajili wa Lacazette utakamilika ndani ya saa 48 baada ya mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 26 kusafiri kwenda London kwaajili ya vipimo vya afya. Arsenal ilijaribu bila mafanikio kumsajili Lacazette msimu uliopita ambapo ofa yao ya pauni milioni 29 ilipigwa chini. Msimu huu ikarejea tena na ofa ya pauni milioni 39.5 ambayo nayo ilikataliwa kabla ya kuiboresha na kufikia makubaliano na mmiliki wa Lyon, Jean-Michel Aulas kwa dau la pauni milioni 44.

Comments

Popular posts from this blog

Siku ya jana yalifanyika maombi na mazishi mwimbaji mkongwe wa Msondo Ngoma, Shaaban Dede aliyefariki Alhamisi asubuhi, yamefanyika leo saa saba mchana na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa Dar es Salaam picha na sauti 5 bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Atimae Anthony Martian aongezwa katika orodha ya kusajiliwa katika msimu huu katika club ya Manchester United taharifa hiyo imetolewa na Arsene Wenger

Atimae Singida United kuanza maandalizi yake kuelekea msimu mpya wa ligi kuu tanzania bara