Raisi wa zamani wa jamuhuli ya muungano wa tanzania halaaniwa na tume ya haki za binadamu

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini Tanzania imesema imesikitishwa na matamshi ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari imesema imesikitishwa na kauli ya rais wa awamu ya tatu akirudia maneno ya kejeli ya watanzania wenye maoni tofauti.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo Mkapa alisema akiwa Chato, Geita kuwa Takwimu zilizotolewa na Waziri wa Afya siku hiyo( Julai 10, 2017)  ya makabidhiano ya nyumba 50 zilizojengwa na Mkapa Foundaton  Zitawasaida kupunguza Upumbavu Wale aliowaita hivyo Wakati wa Kampeni  2015.

Taarifa hiyo imesema kuwa matamshi ya Mkapa hayapendezi kusikika yakitoka kwa kiongozi wa kitaifa, na ni matamshi yasiyoheshimu maoni tofauti.

Comments

Popular posts from this blog

Atimae Anthony Martian aongezwa katika orodha ya kusajiliwa katika msimu huu katika club ya Manchester United taharifa hiyo imetolewa na Arsene Wenger

Makaburi kumi yagundurika katika jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo katika mkowa wa kasai