MASHABIKI wa Yanga wamejawa na furaha baada ya kusikia kwamba klabu yao imefanikiwa kumrejesha tena kundini straika wake raia wa Zimbwabwe Donald Ngoma aliyekuwa anawaniwa na Simba.

MASHABIKI wa Yanga wamejawa na furaha baada ya kusikia kwamba klabu yao imefanikiwa kumrejesha tena kundini straika wake raia wa Zimbwabwe Donald Ngoma aliyekuwa anawaniwa na Simba. 

Ngoma amesaini tena mkataba wa miaka miwili Yanga baada ya kuwatikisa mabigwa hao kwamba alikuwa anakwenda Simba, huku pia kukiwa na habari kwamba amesaini klabu ya Polokane City FC ya Afrika Kusini.

 Hata hivyo uhakika ni kwamba Ngoma alikuwa anawatikisa ili awafike mzigo anaotaka na kwamba mwanasoka huyo ameikomba Yanga kiasi cha dola 60,000 ambazo ni zaidi ya sh mil 120 za Kitanzania.

Comments

Popular posts from this blog

Atimae Anthony Martian aongezwa katika orodha ya kusajiliwa katika msimu huu katika club ya Manchester United taharifa hiyo imetolewa na Arsene Wenger

Makaburi kumi yagundurika katika jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo katika mkowa wa kasai