Hatimae taifa star kutolewa na Ruwanda leo

Atimae timu ya tanzania  kucheza na  Ruwanda   leo kule nchini ruwanda katika wanja wa  Nyamirambo kule ruwanda  katika timu ya  tanzania  ikiongonzwa na  wachezaji kama





John Bocco
Rhaeli Manula
Kichuya
Mao
Mzamiru
Saimoni Msuva
Michaeli
 Nyoni
Bonifa

Mpaka  dakika ya tisini mpira kuisha  hakuna mtu aliyeiyona  goli la mwenzie mpaka dakika zimekusha   kwa matokeo hayo yameifanya ttimu ya tanzania  kuanga mashondano kwa siku ya leo taifa star  italejea nyumbani kujianda kwa michezo ambayo inakalibia kuanza


Comments

Popular posts from this blog

Mtu kadakwa akimpelekea mahabusu simu katika gereza la Keko.

Taifa star na timu ya ruanda wanacheza siku ya leo mpaka

Hatimae kocha wa timu ya Kagera sugar Meck mexime kumaliza mafunzo ya ukocha amesema akili yake ameiamishia msimu wa ligi kuu Tanzani bara amepanga kuanza mwanzo wa Julai 17mwaka huu