Real Madrid imemwingiza mshambuliaji kinda wa Manchester United Marcus Rashford kwenye mipango yao ya usajili ya kiangazi hiki.

Mabingwa hao wa Hispania wataamua kumfungia kazi Rashford iwapo watakutana na ugumu wa kumsajili kinda wa Monaco Kylian Mbappe.
Comments
Post a Comment