Rais wa TFF Jamal Malinzi na Katibu MKuu wa TFF Selestine Mwesigwa watafikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Juni 29, 2017 kwa ajili ya taratibu za kimahakama kuchukua nafasi yake.
Rais wa TFF Jamal Malinzi na Katibu MKuu wa TFF Selestine Mwesigwa watafikishwa mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Juni 29, 2017 kwa ajili ya taratibu za kimahakama kuchukua nafasi yake.
Afisa uhusiano wa TAKUKURU Musa Misalaba amethibisha kwamba, Malinzi na mwenzake watafikishwa mahakama ya Kisutu leo.
Malinzi na Mwesigwa wanashikiliwa na TAKUKURU kwa ajili ya mahojiano lakini tangu kushikiliwa kwao, TAKUKURU hawajaweka wazi sababu za kuwashikilia licha ya kusema wanawahoji na kuendelea na uchunguzi wao.
Comments
Post a Comment