Atimae Haruna nyionzima kujiunga na simba kuanzia msimu ujao






KITENDO cha Haruna Niyonzima "Fabregas" kujiunga na Simba na kuanza kuitumikia kuanzia msimu ujao, maana yake itakuwa ametimiza amza yake ya siku nyingi ambayo anadaiwa kuwa alikuwa nayo.



Imedaiwa kuwa kiungo huyo nyota wa kimataifa raia wa Rwanda alikuwa na hamu ya kujiunga na Simba siku nyingi, lakini pia hata viongozi wa Simba wakati huo walikuwa wanatamani kumsajili.


Aliyekuwa mwenyekiti wake, alitamani kumsajili Niyonzima. Mzee dalali walimuhoji akasema kwamba kama kweli viongozi sasa wa Simba watamsajili fundi huyo wa mpira wa miguu basi Simba kuna habari kwamba asilimia 90 wameshamalizana na Niyonzima na kwamba kinachosubiriwa sasa ni mkataba wake na Yanga kumalizika ili atambulishwe.



Mzee Dalali amesema kwamba Niyonzima ni kati ya viongozi bora Afrika, hivyo anaamini kama akitua kuichezea Simba, basi msimu ujao wa Ligi Kuu Bara watakuwa na kikosi imara. Mwenyekiti huyo wa zamani wa Simba amesema kwamba kwa muda mrefu amekuwa akifurahishwa na uwezo wa Haruna, hasa uwezo wake mkubwa wa kuichezesha timu na kupiga pasi za mbali na mabao.



Amesema kwamba ujio wa Niyonzima katika Simba utamrahisishia kazi kocha Joseph Omog ambaye amepanga kukisuka kikosi chake. “Haruna ni kati ya viungo bora ninaowapenda na ninakumbuka kipindi cha uongozi wangu tulishawahi kumuhitaji kipindi hicho bado mdogo damu ikiwa bado inachemka,” alisema Dalali.

Comments

Popular posts from this blog

Mtu kadakwa akimpelekea mahabusu simu katika gereza la Keko.

Taifa star na timu ya ruanda wanacheza siku ya leo mpaka

Hatimae kocha wa timu ya Kagera sugar Meck mexime kumaliza mafunzo ya ukocha amesema akili yake ameiamishia msimu wa ligi kuu Tanzani bara amepanga kuanza mwanzo wa Julai 17mwaka huu