Vicent Bossou amesema kwamba yuko tayari kurudi kwenye kikisi cha Yanga ikiwa viongozi wa klabu hiyo watamwita



BEKI wa kati, Vicent Bossou amesema kwamba yuko tayari kurejea kwenye kikosi cha Yanga ikiwa tu viongozi wa klabu hiyo watamwita na kukaa meza moja ya mazungumzo.


 Bossou ambaye kwa hivi sasa yuko nchini Togo kwa ajili ya mapumziko mafupi, alisema kwamba mpaka sasa hajawasiliana na viongozi kuhusiana na suala lake la mkataba mpya lakini atakuwa tayari endapo ataitwa.


 “Hakuna mawasiliano yoyote ambayo yamefanyika mpaka wakati huu, lakini klabu ya Yanga naipa kipaumbele zaidi na nipo tayari kurejea endapo nitaitwa wakati wowote kuanzia sasa alisema beki huyo''.


 Nipo mapumziko hivi sasa baada ya kuisha kwa mzunguuko wa Ligi na hakuna timu ambayo nimefanya nayo mazungumzo kwa ajili ya kujiunga nayo,” aliongeza.

 Beki huyo ni miongoni mwa wachezaji wa kimataifa ambao wamemaliza mikataba ndani ya klabu ya Yanga ambayo kwa hivi sasa inafanyia kazi maoni yaliyoachwa na kocha George Lwandamina juu ya wachezaji inayowahitaji.

Comments

Popular posts from this blog

Siku ya jana yalifanyika maombi na mazishi mwimbaji mkongwe wa Msondo Ngoma, Shaaban Dede aliyefariki Alhamisi asubuhi, yamefanyika leo saa saba mchana na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa Dar es Salaam picha na sauti 5 bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Atimae Anthony Martian aongezwa katika orodha ya kusajiliwa katika msimu huu katika club ya Manchester United taharifa hiyo imetolewa na Arsene Wenger

Atimae Singida United kuanza maandalizi yake kuelekea msimu mpya wa ligi kuu tanzania bara