OFA: Jipatie Riwaya Kali ya Kusisimua Ya President Wife

OFA KABAMBE
Nunua kitabu cha PRESIDENT WIFE kwa sh 10000 ujipatie kitabu cha SHE IS MY WIFE bure kabisa. OFA hii ni wa watumiaji wa mtandao wa Whatsapp 0657072588 na EMAIL eddazariaM@gmail.com 

Kumbuka kwamba She is MY WIFE muendelezo wake ni PRESIDENT WIFE na SORRY MADAM destination of my enemies. Wahi sasa ili uweze kutambua Raisi Rahab alikuwa wapi na alitokea wapi na imekuwaje amekuwa raisi. Usikose mtiririko wa vitabu hivi vya vya kusisimua.

PRESIDENT WIFE
"Baada ya utawala wa mzee GODWIN na MANKA kutolewa madarakani na EDDY DODWIN, adui mkubwa wa Eddy, JOHN anachukua madaraka ya Mzee Godwin na kuapa ni lazima ataamuangamiza Eddy aliye kuwa rafiki yake wa kipindi kirefu toka wakiwa sekondari.

Rahab anaongoza nchi huku kijana machachari Adrus akiwa mlinzi makini kuhakikisha maisha ya mke wa raisi yanakuwa salama, ila K2 na kaka yake wanajawa na uchu wa madaraka na kuhakikisha kwamba wanauangusha uongozi wa Raahab, ila Eddy anasimama kama ngao na kupigania uongozi wa Rahab je atafanikiwa"

Comments

Popular posts from this blog

Siku ya jana yalifanyika maombi na mazishi mwimbaji mkongwe wa Msondo Ngoma, Shaaban Dede aliyefariki Alhamisi asubuhi, yamefanyika leo saa saba mchana na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wakazi wa Dar es Salaam picha na sauti 5 bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Atimae Anthony Martian aongezwa katika orodha ya kusajiliwa katika msimu huu katika club ya Manchester United taharifa hiyo imetolewa na Arsene Wenger

Atimae Singida United kuanza maandalizi yake kuelekea msimu mpya wa ligi kuu tanzania bara