vijana wakimtukuza mungu katika tamasha la vijana arusha katika ukumbi wa ajtc

vijana wakimtukuza mungu leo katika viwanja vya ajtc arusha hamakweli  watu wamebarikiwa  na kumtukuza mungu.waimbaji  tofauti tofauti wakimtukuza mungu  na watu waliweza kufunguliwa  shida zao  na atimae aliye fungwa na vifungo na shetani vilifunguka na watu waliweza kumtukuza mungu kwa  roho na kweli .

watu wakiwa katika uwepo wa bwana wakisikiliza na kutafakari maajabu ya  mungu  aliyo yatenda katika maisha yao hapa duniani   waumini wote wametakiwa kumuabudu muhumba wao katika maisha yao wanapo ishi duniani  wamkumbuke muhumba wao popote walipo wakumbuke kwamba hapa duniani si kwao bali sisi ni watu tunao pita hatuna makao bali kwetu ni mbinguni alipo baba  muhumba bingu



huyo ni mwalimu  Elihuluma stanford chao akimuinuwa mungu  katika viwanja vya ajtc leo  alimtukuza  mungu kwa jitiada zake  zote kwa kadri mungu alivyo mjalia aliweza kumuhinuwa mungu.hakika mungu aliweza  kuonekana mahali hapo.


huyo ni mwalimu Lucas  Modaa  akisikiliza kwamakini wakati wa  tamasha la vijana katika ukumbi wa ajtc

Comments

Popular posts from this blog

Mtu kadakwa akimpelekea mahabusu simu katika gereza la Keko.

Taifa star na timu ya ruanda wanacheza siku ya leo mpaka

Hatimae kocha wa timu ya Kagera sugar Meck mexime kumaliza mafunzo ya ukocha amesema akili yake ameiamishia msimu wa ligi kuu Tanzani bara amepanga kuanza mwanzo wa Julai 17mwaka huu