Ramadhani Chombo aliyekuwa kiungo wa Mbeya City amesema hivi sasa yuko huru akisubiri timu inayoeleweka ili aweze kujiunga nayo





ALIYEKUWA kiungo wa Mbeya City, Ramadhani Chombo “Redondo” amesema kuwa hivi sasa yuko huru akisubiri timu inayoeleweka ili aweze kujiunga nayo msimu ujao.


 Kiungo huyo ambaye aliwahi kutiomkia Denmark wakati akiwa kwenye kituo cha Dyoc, amesema kuwa kuna timu zinamnyemelea lakini bado hawajafikia makubaliano. 


“Nipo huru hivi sasa, bado hakuna timu tuliyofikia makubaliano kwa ajili ya msimu ujao. Nasubiri kuona nini kitaendelea,” alisema Redondo.



 “Nipo kwenye mapumziko ya muda mfupi kabla ya kujua wapi nitaelekea msimu ujao, nitaweka wazi nikishafikai makubaliano na sehemu nitakayoenda,” alimaliza. Ramadhani Redondo aliwahi kuitumikia klabu ya Simba kabla ya kutimkia Mbeya City.

Comments

Popular posts from this blog

Mtu kadakwa akimpelekea mahabusu simu katika gereza la Keko.

Taifa star na timu ya ruanda wanacheza siku ya leo mpaka

Hatimae kocha wa timu ya Kagera sugar Meck mexime kumaliza mafunzo ya ukocha amesema akili yake ameiamishia msimu wa ligi kuu Tanzani bara amepanga kuanza mwanzo wa Julai 17mwaka huu