kongamano la vijana wakimsifu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni

leo tarehe  23/6/2017 wakimsifu mungu  katika viwanja vya AJTC  waimbaji mbalimbali wamehudhuria katika tamasha hilo akiwemo muhimbaji Elihuruma Stanford Chao kutoka arusha ,Emanuel  kutoka ajtc Arusha ,pamoja na kwaya ya preas  kutoka ajtc arusha
vijana wakimsifu Mungu kwa roho na kweli katika viwanja vya Ajtc
      watu wakiimba wimbo wa kuabudu
  hakika bwana ameonekana mahali hapa
 Godfreay  akiwaongoza  wenzake katika  ukumbi wa ajtc leo
 vijana wakimuhabudu muhumba wao katika viwanja vya  ajtc siku ya leo ijumaa tulivu ya tarehe 23/6/2017
vijana wakimtukuza bwana kwaro  na ukweli katika viwanja vya Ajtc leo  mapema

Comments

Popular posts from this blog

Q Chillah ametambulisha wimbo mpya alioshirikishwa na rapa Chid Benz

Mbunge wa Nzega (CCM), Hussein Bashe ameshindwa kuvumilia

ATIMAE MOHAMED SALAH AVUNJA REKODI YA LIVERPOOL